--Kwanza gusa sehemu ya juu mkono wako wa kulia kitufe chapili kutoka kulia, na ni cha tatu kutoka kushoto
--Angalia chini utaona sehemu pameandikwa Sign Up, gusa hapo
--Utakutana na nafasi 4zilizo wazi
--Jaza jina lako.
--Jaza google Gmail, mfano yangu mafiarespect@gmail.com.
--Weka password, ziwe 8.
--Zirudie tena password.
--Hakikisha unacho jaza hapa usisahau.
--Kisha gusa neno Sign Up.
-- Ukimaliza, gusa Login.
-- Utaona nafasi mbili za kujaza.
-- Jaza ile Google Gmail.
-- Na zile password.
-- Kisha gusa Login.
-- Utakuwa umemaliza.