Z

■MUONGOZO

UFUATAO NI MUONGOZO KABLA YA KULIPA

1.KWANZA HAKIKISHA UNALIPA KIASI HUSIKA

2.USIZIDISHE KIASI

3.FATA NJIA ZA MALIPO AMBAZO ZIPO CHINI HAPO

4.HAKIKISHA UNATUMA SMS YAKO YA MUAMALA BAADA YA MALIPO KWENYE SEHEMU YA MAWASILIANO APO CHINI KULIA

ZIFUATAZO NI NJIA ZA MALIPO HAPA CHINI

 

■AIRTEL MONEY

ILI KULIPIA KWA WATUMIAJI WA AIRTEL FATA NJIA HIZI

PIGA *150*60#

CHAGUA 5-LIPA BILI

CHAGUA 1-LIPA KWA SIMU

CHAGUA 1-LIPA KWA AIRTEL

INGIZA KIASI,SAHIHI

KISHA INGIZA LIPA NAMBA AMBAYO NI 13370278

MAFIA RESPECT-JINA

HAKIKISHA JINA LINATOKEA (MAFIA RESPECT) NDIO UNATUMA MUAMALA WAKO

 

■TIGO PESA

ILI KULIPIA KWA WATUMIAJI WA TIGO PESA FATA NJIA HIZI

PIGA *150*01#

CHAGUA 5-LIPA KWA SIMU

CHAGUA 5-KWENDA MITANDAO MINGINE

CHAGUA 3-AIRTEL

INGIZA LIPA NAMBA AMBAYO NI 13370278

INGIZA KIASI,SAHIHI

INGIZA NAMBA ZAKO ZA SIRI KUTHIBITISHA

HAKIKISHA JINA LINATOKEA (MAFIA RESPECT) NDIO UNATUMA MUAMALA WAKO

 

■MPESA

ILI KULIPIA KWA WATUMIAJI WA MPESA FATA NJIA HIZI

PIGA *150*00#

CHAGUA 1-TUMA PESA

CHAGUA 1-WEKA NAMBA YA SIMU

NAMBA 0748943432

WEKA KIASI,SAHIHI

INGIZA NAMBA ZAKO ZA SIRI KUTHIBITISHA

HAKIKISHA JINA LINATOKEA (YUSUFU YUSUFU) NDIO UNATUMA MUAMALA WAKO

 

■HALOPESA

ILI KULIPIA KWA WATUMIAJI WA HALOPESA FATA NJIA HIZI

PIGA *150*88#

CHAGUA 1-TUMA PESA

CHAGUA 2-KWENDA MITANDAO MINGINE

CHAGUA 3-MPESA

INGIZA NAMBA YA SIMU YA MPOKEAJI

AMBAYO NI 0748943432

WEKA KIASI,SAHIHI

INGIZA NAMBA ZAKO ZA SIRI KUTHIBITISHA

HAKIKISHA JINA LINATOKEA (YUSUFU YUSUFU) NDIO UNATUMA MUAMALA WAKO